Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2017

Isma kiduku ULINIDANGANYA ni story ya kweli

Picha
Ukizungumzia wasanii wanaokuja kwa kasi kunako game ya bongo fleva uwezi ukaliacha jina la ISMA KIDUKU  kijana anaesumbua na wimbo wake mpya wa ULINIDANGANYA, Ukiskiliza kwa umakini mashahiri yaliyomo ndani huo wimbo wa ulinidanganya na kama ulishawahi kutendwa na mpenzi wako utajikuta unamwaga machozi bila kupigwa sababu ni wimbo ambao umeimbwa kwa hisia sana, NINI chanzo kilichopelekea Isma kiduku kuandika wimbo huu.. Kwenye mahojiano mafupi na msanii huyo Alitupa siri fupi iliyofanya kuandika mashahiri hayo yanayowatoa mchozi waliotendwa ""Kwenye maisha yangu alitokea mschana mmoja [jina kapuni] ambae alinifanya niamini kuwa hakuna kitu kutendwa katika maisha ya mapenzi aliniaminisha sana kwa mapenzi matamu maneno matamu mpaka pesa alinipa pindi nilipofulia, ilinifanya nikadharau mpaka baadhi maneno ya mamaangu kwa sababu yake, nilidumu nae miaka minne nilimuheshimu sana yeye na familia yake mamaake dadazake hata wadogo zake niliwaheshimu kwa kujua siku moja ningefunga n

NIKI WA PILI AWALILIA MABINTI KUKOSA ELIMU

Picha
Baada ya Rais Magufuli kuweka wazi kwamba hakuna mwanafunzi atakayerudi kurudi shule baada ya kupata ujauzito, Msanii Nikki wa pili amedai kwamba mabinti mjamzito anahitaji kupatiwa elimu pamoja na msaada wa kisaikolojia kwani bado wananyanyapaliwa. Msanii Nikki wa Pili Nikki ametumia mitandao yake ya kijamii kuzunguumzia suala hilo amabalo limeua mijadala tofauti tangu jana baada ya kauli ya Rais kutolewa jana alipokuwa Bagamoyo kwenye ziara yake, na kusema kuwa familia nyingi zimepoteza watoto kutoka na utoaji wa mimba. "Huko uswahilini kwetu kuna familia zimebaki na makovu ya kuwapoteza watoto wao walipokuwa wakijaribu kuwatowa ujauzito ili kuwaepusha na unyanyapaa wa kijamii kusemwa na kuoneshwa vidole. tafiti zinasema hata kwa watu wazima nao mimba yingi nizile zisizo za kutarajia ndio mana mimba laki 5 hutolewa kila mwaka. so kama wao linawashinda vipi kwa watoto " Nikki aliandika. Ujumbe wa Nikki kwenye ukurasa wa Twit