Isma kiduku ULINIDANGANYA ni story ya kweli

Ukizungumzia wasanii wanaokuja kwa kasi kunako game ya bongo fleva uwezi ukaliacha jina la ISMA KIDUKU kijana anaesumbua na wimbo wake mpya wa ULINIDANGANYA, Ukiskiliza kwa umakini mashahiri yaliyomo ndani huo wimbo wa ulinidanganya na kama ulishawahi kutendwa na mpenzi wako utajikuta unamwaga machozi bila kupigwa sababu ni wimbo ambao umeimbwa kwa hisia sana, NINI chanzo kilichopelekea Isma kiduku kuandika wimbo huu..
Kwenye mahojiano mafupi na msanii huyo Alitupa siri fupi iliyofanya kuandika mashahiri hayo yanayowatoa mchozi waliotendwa
""Kwenye maisha yangu alitokea mschana mmoja [jina kapuni] ambae alinifanya niamini kuwa hakuna kitu kutendwa katika maisha ya mapenzi aliniaminisha sana kwa mapenzi matamu maneno matamu mpaka pesa alinipa pindi nilipofulia, ilinifanya nikadharau mpaka baadhi maneno ya mamaangu kwa sababu yake, nilidumu nae miaka minne nilimuheshimu sana yeye na familia yake mamaake dadazake hata wadogo zake niliwaheshimu kwa kujua siku moja ningefunga nae ndoa lakini haikuwa hivyo, Alibadirika sana baada ya kuanza chuo, alivyoingia chuo mwaka wa kwanza tu vikwazo vikaanza mara aniambie nimekuwa mbaya mara simvutii tena na mwisho aliamua kuniacha kwa vichambo na matusi mazito kutoka kwa baadhi ya ndugu zake hapo ndipo nilipopata idea ya wimbo wa ulinidanganya.'''' Alimaliza kutupa kisa hiki huku akitokwa na machozi na kusema ''kama mungu huwa anahukumu wakosefu basi mimi nipo tayari kuhukumiwa kama nimemkosea yule binti'' Na mwisho amewataka mashabiki zake wamsapot kwani ndio anaanza music waweza kuomba nyimbo zake radio zote tanzania

Isma kiduku kushoto
download #ULINIDANGANYA
hapa   http://www.hulkshare.com/9pmebu7ilnk0 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MAREKANI YATISHIA VIKWAZO KWA YEYOTE ATAKAEKWAMISHA UCHAGUZI DRC

UTAMBURISHO WA DANI ALVES PSG

Sanjay Dutt kuifaidi Tanzania siku 21