UTAMBURISHO WA DANI ALVES PSG

Dani Alves amesema hajutii kusajiliwa na Paris Saint-Germain,Walimpa ofa ya mshahara wa Pound 230,000 kwa wiki,Anasema amekuja Ufaransa kuwa Mshindi.
Dani Alves alitambulishwa rasmi kama mchezaji wa PSG kutoka Juventus jijini Paris wiki hii na mke wake mwanamitindo Joana Sanz alikuwepo.
Dani Alves pia alitoa ujumbe kwa kocha wa Manchester City,ep Guardiola nakusema Samahani kwa kuamua kujiunga na PSG, nimekuja Ufaransa kuwa mchindi. Dani Alves akiwa PSG kwa mwaka atatengeneza pound milioni 12.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MAREKANI YATISHIA VIKWAZO KWA YEYOTE ATAKAEKWAMISHA UCHAGUZI DRC

Sanjay Dutt kuifaidi Tanzania siku 21