Tunatafuta u star ili tupate pesa ISMAYA KIDUKU

Tunautafuta u star sio kwasababu ya mademu tunautafuta u star kwa sababu ya kutengeneza pesa na kama unaona kuna vijana wanataka kuwa ma star ili wapate watoto wazuri basi mi naona hawana akili timamu na awawezi kufika mbali watapotea mimi binafsi nataka kufanya umaarufu wangu kuwa mtaji wa kuniingizia pesa hivyo yani. 

alijibu ismaya kiduku baada ya kuulizwa swali la kizushi kuhusu kutafuta u star kwake

ISMAYA KIDUKU

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MAREKANI YATISHIA VIKWAZO KWA YEYOTE ATAKAEKWAMISHA UCHAGUZI DRC

UTAMBURISHO WA DANI ALVES PSG

Sanjay Dutt kuifaidi Tanzania siku 21